Unaoshwa proper.
https://vm.tiktok.com/ZMYfUTToN/
…Tembea na bucket yako kwa gari…mwambie apimie hapo alaar.
:D:D:D unashindwa waru umeshika za thao niaje ni za mia mbili
Many moons ago, i visited my aunt kule Cendro. Some brokers came to buy Macadamia nuts. We lifted some heavy bags from the granary and the brokers used the “onion” weighing scale below.
Nikashangaa how a heavy sack can just weigh 5kg.
Hiyo weighing scale imefanyiwa ukarabati hadi ukiwekelea mawe ya 9" inaweza kuambia ni 1.5 kg.
[ATTACH=full]498708[/ATTACH]
I went to the car and brought them a functional weighing scale of the type below. Walikataa kuitumia and they walked away.
Ni nyundo tu tuliendea kwa store, cracked and chewed the Macadamia nuts as we laughed.
[ATTACH=full]498709[/ATTACH]
Alafu people walk around calling themselves businessmen while all they do is con farmers! Wewe umepanda crops zako alafu mtu anataka akuje aokote tu vya bure na kusema anafanya biashara! Wakenya hatuna haya!
Most brokers make their riches by stealing from farmers through doctored weighing scales.
F__ing bastards
Muwuachane na mahasora.