Sijui kama hiyo ndio jina ya hawa wadudu wenye kina @Mundu Mulosi alikula ball moja ikasema…haya kwaheri papa…sasa mimi nimewacha stima on,nikaenda kuchukua mzinga kurudi nakuta nyumba imejaa ha wadudu,mabawa yameja sakafuni…nao nikutambaaa tuu…shida yao huwa ni nini na mbona wao hutokea wakati kuna mvua pekee.
Sasa labda nikaburudikie bedroom
LGBT bugs
they are termites hizo hukulwa na akina @Dune
Kumbekumbe tamu sana kwa ugali very healthy unatomba dem shot fifteen after
Kumbikumbi. Itia @uwesmake akule na ugali
Uweskei atapita mpaka na mkia
[ATTACH=full]241748[/ATTACH]
[ATTACH=full]241748[/ATTACH][ATTACH=full]241749[/ATTACH][ATTACH=full]241749[/ATTACH]
Can be eaten both raw and fried, tamu sana.
Buda hujipendi
Kwa nini buda?
Mwalimu hizo insects siezi karibia
Yaaaack
Hapa Nairobi kuna mahali zinapikwa, I would like to try them
You would rather visit their reserve and sample them from there,huku utalishwa uchafu bwana
Kweni unaishi nyumba ya matope…
You must be very thick to say that.
:D:D:D…just wondering kweni io nyuma yako imejaa mashimo kumbe kumbe zinaingia ovyo ovyo.
Dirisha ilikuwa wazi,stima ilikuwa on,wacha kufikiria pole pole.
I am trolling lakini wewe ni fala haushiki rada…
Ndio zinashuka
Not sure, labda nikuletee kutika ocha. Those, ground nuts and smoke dried mushrooms are the only foodstuffs I carry from home to Nairobi.