Kunguru

I will post this because I have seen it happen so many times. The guy who buys drinks for a woman in a club mostly leaves the club an unhappy man. This often happens if the girl likes dancing and the guy is a poor dancer or does not dance. The rave starts well but some beers later you will see the guy on his seat as the girl grinds fisis like crazy. Yesterday I saw such a case, the nigga just shook his head, took his VAT 69 and left the club alone. They had come together as a ‘happy’ couple

U

Mbona unakunywa sunday…huna life?

K

vaa kofia ngumu

:D:D:D forewarned is forearmed!

Na wewe ulienda shopping ya tp this Sunday ? Meanwhile vaa helmet . Wanakamu

kuna ingine nliona the other week, jamaa analeta manzi yake rave then wakakosa seats za kufatana and had to seat in different locations. manzi anajuana na half the club. every time was hugs and conversations with ninjas while nigger looks on from a distance. saa hio jamaa alikua amemchafulia meza na ma kingfisher et al

he he…hiyo nayo ni date bado?

Wanawake kama hao ni malaya kimpango…lakini shida ya huyo jama labda ilikua slices

Kununulia wasichana wa Nairobi pombe naonanga ikiwa bad move especially msichana hamjuani sana. Nigga wa jana aliangalia tu dame akisugua majamaa wengine nikaona amechukua VAT 69 akajitoa. Madame wengine walikuwa wameketi hapo karibu walikuwa wanachekelea jamaa the whole time.

Niaje peasant?

Ali fanya poa kumsare …

I thought so too. Plus he was even smarter to leave na mzinga yake ikiwa 3/4. Msichana aliachwa bila drink isipokuwa ile moja alikuwa anakunywa at that moment. Funny enough wakati huyo jamaa alienda mafisi wakawachana na msichana:D:D

Whats wrong with having a drink on sunday…me and my friends call it shit faced sunday where we toa lock with few rounds of beers then mzinga ya kufunga wiki…guess hatuna lifes!

Huna pesa?

Fiti billionaire

…to avoid kununulia kunguru pombe :D:D

:D:D:D Waliona first victim na wakaona kunguru sasa haina pombe wakajua wajitoe kwa hiyo mix. Mafisi ni wajanja sana

Nitumie KcR