Kunguru wameanza kuwacha Pombe -ili Waolewe

Haina shida, bora nisibebwe hekaya ati love, hiyo inakuwa union kama Ile ya Arabs..

1 Like

Hata mimi niliacha pombe elders

1 Like

Pia wewe unataka kuolewa?

Episode 12 Wedding GIF by Shameless

2 Likes

Hakuna any healthy man anaweza wacha pombe. Sema tuu uliambiwa Na USAID eti pombe na ARVs haziendani. Na by the way, since msito Trump afanye Ile kitu mnatoanga wapi madawa?

3 Likes

Just look at her. Physically very beautiful, decent dressing and shouting Ebenezer. Nini ingine unataka?

1 Like

Let the girls have fun. Kwani mnataka mabibi boring aje na ni nyinyi wenyewe 2 days later mtaanza kulia vile your wives are dull characters?

1 Like

Sweeps ni hatari :grin::grin:

2 Likes

Heri mlevi na mvutaji bangi than these types.

2 Likes

Waliona ni wao pekeao wako club,wanaume waliwaachia kitambo :joy:

1 Like

Uliwacha kwa counter ama wapi?

2 Likes