kunguru kichinjioni

[ATTACH=full]334919[/ATTACH]

ata picha akiwa amesimama ama haga ndio tujue kama ni snack ama full meal…

[ATTACH=full]334927[/ATTACH]

ii si yako bro enda udanganye maasai

Picha ya Twitter

panguza nyumba ngombe ino unaishi kama panya bukini

uliskia twitter ni ghosts huwa zinaweka picha?

Hapa ni kwa klub huoni hiyo kiti kunguru imekalia?

Danganya maasai
[ATTACH=full]334939[/ATTACH]

https://kenyan-post.com/category/photos/page/5/?filter_by=random_posts%2F

:smiley:

Sijasema ni picha yangu boss. Mi nimeeka picha nikasema kunguru iko kichinjioni. Hata mimi nimeitoa online kama wewe tu

Umeponea…i was about to say something about your shoes

Hiyo kiatu hapanaa

For those the purists who know their shoes, zinaitwa brogues…

Na nani?

hio kiatu hata nikipewa bure sivai

Do they still have this thing at the museum?

Heshimu watu bana.How do you compare a human being to a panya.Be nice.

Mbona ninatajwa huku na mimi nimejenga jina mbaya

A

Actually ni Sabina joy major