Kunguni issue.....

I knu its a peasant problem…:smiley:

I don know where i got this bugger from, manze its really giving me sleepless nights. Lakini, probably naona nikama gym fulani ya mtaa where i usually go, coz kuna room fulani ilikuwa nazo. i’ve tried some insecticides lakini wapi . Now am left with calling those pest eradicators.

Here is the thing,hii kunguni ,its only feasting on me ,mama hana shida she sleeps lik a queen. Since i cant tolerate tht itchiness ,imenibidi nihamie kwa room ya mjunior.

@pamba unaeza nisaidia na bunduki niue hii mnyama ?

@KUNGU THE PILOT kuna mtu anacomplain unamsumbua usiku:rolleyes::rolleyes:

Fanaya hivi chief. Enda hapo stage ya Great rift opposite Eastmat supermarket kuna aggrovet iko hapo. Nunua pump ya 150 na uwaambie wakupee dawa ya kunguni. Changanya na dettol conc then add one liter of water kwa hiyo chupa. Fukuza kila mtu kutoka kwa nyumba, hadi paka na doggy. funika mapua na funga madirisha zote. Chapa ile mixture kila mahali. Na ukumbuke wale watu wote wamekukosea coz buda utalia kama mjinga. Wale wadudu wataanguka ndio utajua sio kunguni pekeeyake ndio wako kwako.

Ohhh usisahau kupelekea jym instructior.

hama kutoka mihango

what pesticides have you tried and failed?

@Uncle Best dettol inaongeza potency gani kwa hiyo mix?

Ingine inakaa maziwa when mixed with water

you just described a whole world of chemicals that range from roberts and dettol antiseptics to foliar fertilizers for making plants yield better to cattle dip chemicals…and talking of dipping chemicals, perhaps you should give them a try…

usitumie vita, fanya truce. mwaga damu moto (ya kuku ivi) kwa floor. zitatoka kutake hiyo agreement. hapo kwingine jisort.

pimbi

ataheat damu ama?

One of the dirty dozen, perhaps?

ngojea zile probox hupita mitaani zikiadvertise dawa ya mende, kinguni…

So in your wisdom uliona upelekee mtoi kunguni

Ina disinfect na kupasua cephalothorax

:D:D

ask for Lava (pesticide brand). Be ready to have a huge headache after spraying

Bedbugs putting your wife straight to sleep better than you ever could…:D:D:D
Sorry…just had to make a stupid jibe.
dawa ya kunguni ni moja. Throw away any material you think has the bugs. Bed gone…mattress gone…blankets gone… Wash all your clothes again after letting them soak in jik. Clean the entire bedroom with a good insecticide and dont forget to declutter your room.

Hizo vitu haziishangi ata na dawa.

[ATTACH=full]51900[/ATTACH]
Its the real deal…a week after kunyunyiza hata mosquitoes hazi skiki! Dawa strong ssana!

Kuna dawa tulikuwa tunatumia tukiwa campo and it was less hazardous to human life but very effective kwa kunguni. inaitwa ‘DELETE’ and only costs kitu 2sok. Tafuta kwa agrovet utasaidika.

one thing is for sure the pesticide only kills the pests but eggs mostly hidden kwa cracks ama Kama kitanda iko na grooves hapo ndio they hide the eggs so without dealing with them you’ll have the very same problem after a week or so…take hot water mwagilia kila corner na mwanya ya kitanda to kill hizo eggs then spray the pesticide and repeat repeat after two weeks…but avoid diazonole…kunguni za Nairobi haziitambui…