Kung'u is baaaack!

3 Likes

Niliona huyo class 8 dropout Kairo ameenda pilot school nikagundua hiyo course ni takataka

1 Like

How much does it cost to get PPL and commercial license in Kenya? is it better and cheaper to go to SA or Ethiopia for same?

1 Like

Aitiopian Rock attack!!
Anyway I’ve heard very good reviews from Ethiopia, and being a relatively stable “airline” economy, I’d bet on them before giving mzansi a chance. SA are undergoing a revolution of sorts, I don’t know exactly what it is they have against foreigners, especially the same colored ones

Piloting a small aircrft requires no special skills.

2 Likes

Piloting is a career of money. As long as you can pay the school fees and pay flight hours you can go through it

1 Like

piloting is just like driving. Shida ni wenye pesa wanawezana kulipia course

1 Like

In 2014 nilikuwa interested kabla nishike matatu in March.

Private license niliona itanimumunya around 750k.

Cost ya ku fly per hour ilikuwa ni 14k.

Shida haikuwa Doo, s I had around 4.5M nikitoka Juba. Nilijiita kamkutano, nikachambua internet nkaona airlines prefer pilots trained in SA.

Nkaona Wacha tu nizoe kuwa passenger.

1 Like

Kunguni the pilot

I have 2 pilot pals. Inakaa kupata job sio rahisi, Moja ni kalewa siku hizi, the other ako hustle like the rest of us. alisema Kuna ma squadi pale Wilson kama mathree

3 Likes

Anapewa skuodi za kupeleka mizigo. Heri ya ku fly helicopter. That was my dream. Na inadai around 3M…niki dhani

90% of chopper pilots who are Kenyan are ex jeshi. That course costs more than 10M pale SA. we have so many foreigners flying them here.

1 Like

I’d love to be among them. Pale school of flying sijui kama kuna daro. I understand its the most complicated machine to fly. Basics nazijua.

1 Like

Kuna bro ya beshte wa wife alisoma in SA. Alilipiwa na paro hadi akamaliza. He is flying Jambo jet to get more hours for promotion to the next rank. Mshahara yake ni kitu Ksh 100k after tax.

1 Like

Mshahara ni less though but hio ni achievement biggy saidi. Pale primary school mtu alikuwa anaulizwa anatamani kuwa nini…kila boy alitaka kuwa pilot.

Heli me husema lazima nitajaribu siku moja kama hobby. Option poa hua kuingia military like said. Philipines pia ni destination unaweza enda kusomea.

1 Like