Kungoa threads. Admin wacha ushenzi.

Admin, mbona ulingoa zile threads zilikua pinned hapo juu. Some of them were very educative kama ile ya Tauren ya vijana wasioe post walls ilienda kama 100 pages na pia ile ya support systems. Very good for reference sometimes. You might think you are smart but you are not. You are just killing the Kenyatalk experience. Bure kabisa. It seems like this site is on a downward trajectory. Ngoa hii pia ukue ukisoma zile unataka pekee yake. Shenzi.

[ATTACH=full]495741[/ATTACH]

Si ni nyinyi mlisema singolewe?

Council of elders walisema zingolewe, the village is clean now

@Electronics4u tengeneza category ya hizi pinned threads and post them huko

Mushenz wewe bkadifarking. Fungua section ya pinned thread. @administrator wewe ni umbwaaaaaaa

Tulisema wa wekee category Yao. Watoe hio ya confessions chieth.

Kama inawezekana uweke section yake ndogo ivi. Kama nikicheki ile ya worst regrets, by the time nilimaliza hiyo thread I had learned A LOT. Yaano hiyo info and real life experience ikunywe maji ivo tu. Notice hawa manyangau wanasema kijiji imekua safi ni 20000 likes kuenda mbele because they exhausted them. NV akifika hapa amechanganyikiwa acheki hiyo threads anaona kuna value kwa hii kijiji. Just my 2 cents.

@Tauren !!! Educative!!! I don’t think so kazi mzuri @mnyambuo [ATTACH=full]495754[/ATTACH]

[ATTACH=full]495756[/ATTACH]

Mbwa hii ngoa hizo pinned threads, sisi mabirionea hatuna time ya kuscroll chini 5 mins

Mbona mumeniamukia na matusi?

Pole sana for the loss. Nitaongea na @Electronics4u akuprintie hizo threads, uweke kwa frame kama picha alafu uhang kwa bedsitter yako ndio ukuwe unazisoma anytime unataka.

This will be done in the next KT revamp that will also have live chat, better search and a more modem look and even an app for those that like using apps.

Conversations should move organically without being manipulated by pinning etc…… though we will introduce a section that you can get pinned threads. For instance, If I pin something in the news and politics section, it goes to a certain “Hot threads sections”

Haiya ndio naona walingoa hadi ile thread ilikuwa imechizisha @Starscream na @Dzunza ya Craziest lanye stories…the only old thread i used to visit. Admn pin hiyo pekee

Kuna ngine pia educative ya @Nipe Nikusifu , admin kindly rudisha asap

Thread za watu wajinga

Kuna threads mzuri sana, very informative. Tafasali zisipotee.

elders naomba tufanyie @PHARMACY contribution ili atoe mama mlolongo.