Kuna wanaume wanakipitia.

https://www.youtube.com/watch?v=B-jAuYpP0_4

Jamaa alikuliwa bibi wa 15 years. But amemsamehea. Just listen to the phonecall from 13th minute. Huyu ni mtu roho safi sana mpaka nimemhurumia.

Huyu msee ni actor, used to see him in Jela star on maisha magik… scripted shiet.

Yes. He is an actor ata amesema hapo but kitu scripted unaeza tu ona. I am certain this is not scripted.

Unakuliwa bibi alafu unasema ati come back baby…:D:D:D this man must have some lose screws in his head.

Yaani hivi ndio umetubeba? Eti tuskize hip upuss yote? Sawa tuu. Mungu anakuona.

Zee elder. We cheki tu from 18 mins uone tu for 30 seconds uskie hayo maneno amesema.

Mpaka anasema uko na fare ati arudishe yeye na ndege. But for some reason I truly pity this fellow.

Sounds from the murder of crows in the background is…
[ATTACH=full]474983[/ATTACH]

Umafwi thread

You need to chill.

A very good actor… All the best kurudisha kunguru kwa nest!

Nimeona hapo juu ni actor Can’t watch a whole 13 min. Hapo in the first minute you can see it’s scripted.

Hehe, mujamaa ni actor but alicheswa

Wacha zako simiyu, hebu fika pale youtube and search comrade flavor. Ana vida Mia tatu na…
Wapi unaeza pata good actors at that rate?

Hii gif nmeitafuta sana. Sandesana now I have it downloaded. Nitaitumia vilivyo

Wewe ukishika bibi utasamehea kama huyu?

Oddly enough kuna watu hukubali tu. Some people just can’t imagine failing at marriage. Hio L ni kama source ya aibu na most huconflate na failure ya kuwa leader wa nyumba. Some just want family ibaki intact, even if it means kukuwa cuckold.

Huyu ni Oty pale Kina. Last episode nilicheki alikuwa amepigwa bunde after a bungled car theft akiwa na Lefty. He is an incredible actor.

I thought wajaluo hawakuliwangwi mabibi… Ama acha tuu.

Unajua bibi aki cheat, it translates to me that she’s found a better person. Hapo nikujitoa bila vurugu juu huwezi lazimisha feelings na kujipea time, nijipange and work towards making my tomorrow better.

Ukishajua as a man that you cannot determine how much a woman will desire you, una learn kujipenda pia.