Wacha umama wewe. When last did you post a topic to be discussed?
Sikatai kuna watu hawana akili but you can skip their comments na uchangie mjadala. Ktalk is the way it is because of those jokes you are calling sick.
Watu watumie block function kama fuses zao ni ndogo. Halafu sijui mbona those who have little to contribute ndio wako na mdomo sana vile kijiji inafaa kuendelea. Ktalk is ktalk because of the varied content herein. Wenye wanataka mature talk waende klist bila kusumbua.
[ATTACH=full]497156[/ATTACH]
If it aint some incoherent rambling about others ’ mothers and their trade, it’s another rambling about ramblers’ rambling. This village is surely going to the canines
We don’t post stuff hapa ndio watu wapelekee relatives na marafiki zao. We post for the benefit and entertainment of members. Sawa na ile wacongolese huita kimpa kisangameni. Wewe na uerevu wako ukiamua kupelekea mama yako thread a some shauri yako haituhusu goti wala uti wa mgongo. Na ujue sikio la punda haliskii dawa.