@Finestwine pole kukudrag huku but wueh, unakumbuka hizi song ama nyinyi younger than us hamkua mnaskiza hizi?
I remember on Powerhits USA was number one for awhile , pia ini kamoze hotstepper
Great music. Kama uliskiza hizo ngoma then you know this group. It takes me way back to my childhood…aswad wenyewe
Naona wewe ni fossil kama mimi.
Ulipea @Yuletapeli ile ticket ya UFC?
Hehe, tunangoja the next fight ya Francis nganou vs Jon bones
umefuatilia sana
sina haraka bado atapata tu