Hii ni takataka.
Kila mtu Ako na taste yake. Meffi wewe. Hatuwezi kua the same
Fukara ingia YouTube ujifunze kujipikia your own shit.
Heshimu keg elder… wengi wetu hapa ndio tulianzia… jug moja uko seti mbaya
Huwzi elewa nice things
That was like 2 years ago..hii ni pombe ya EABL targeting peasants
Keg ni beer moja safi sana. Wenye kuikunywa to the most part ndio wanakuwanga maumbwa. Any time I feel like, huwa najibebea glass yangu. Sitaki hepatitis kutoka kwa hizo vikombe na hakuna vile naweza kunywa na straw.
And you are reporting live from the rubbish bin..mavi ya kuku
We ni ubwa sana.. Hii picha huezi fanya search image uone nimetoa wapi
Once you start drinking in such dingy joints full of low lifes, say goodbye to any dreams of success.
Hapo nmekataa chief , you must experience both life’s .shenzi
Busaa
Ukweli. Same to hanging out with regulars of such joints
enda club inaitwa progressive kasarani uone the REAL OLD MONEY. Inaitwa ‘club ya landlords’
Ni base ya keg pia?
Elder nikimwangia libeshen ancestors na hio cargo yenu mambo inaimarika saidi?
Pale ocha lazima nikunywe keg na herdsboy na wasee wanasaidiana job hapo home kwa nyanyangu na kwa mzae huku wakinipa updates ya rela mgani anasumbua boma. Any Friday inakupata huko, just buy a whole 5l and a little nyama kama 2kg wachome wakule kama mnakunywa kwa campfire hapo nje.
people ignore watu wa ushago na ndio watakam kukuzika



