Mans kama hawa na watu uenda Sonford kukula chips kavu na maji ya mfreji hawana tofauti.
[ATTACH=full]202139[/ATTACH]
Imagine ndume mzima na mandevu zake ana boil maji anamwaga unga ndani anapika sembe. Kidogo anavunja mayai anakaranga anaweka kwa sahani.
To make matters worse anaongeza tomato sauce. Kidogo kidogo anaoga mkono anakunja shati then says a short prayer then starts eating… Anararua dish ni kama ame achieve something in life.
Wanaume kama hawa ni candidates wa kuchunishwa sukuma and I don’t take my words away… I mean it. Sio wanaume kamili. Mwanaume ni kama Panyaste… Pika maini kama bei ya nyama imekulemea… Ama pika matumbo or better pika omena ghasia. Ama kama mbaya mbaya enda kibandaski ukakope ghasia
Mimi huwa sipendi hii tabia ya kuchunguza eating behaviours ya watu then starting to criticise them. Inakuhusu aje? Domo yako? Tumbo yako? Kila nyani na starehe zake buana, huwezi tupimia oxygen. Am sure ata wewe hukula your own weird food combination Panya.
Y’all missed the bus. This people is the start of a series of "Cooking With @Panyaste " posts… I am archiving this…coz the fall will surely come. It did happen with @Gio