Kuna siku Baba Clichy alijipeleka End Year party ya Bigwigs wa Klost akarushwa nje

Pale Klost every end year hapo ma early December bigwigs wa hizo streets used to organise end year parties. Akina @sahau (mnamkumbuka?), Shiku K, Ochuodho J, Eazy (Germany), Supu Don etc walikuwa wana contribute pesa for end year parties. Hizi party ilikuwa strictly for bigwigs na watu wanajiweza kimfuko.

I remember Supu giving me a call ati kama naeza kuwa bouncer/security juu mimi ni weider hivi… Nilikubali.

Siku ya bash mimi nilikua kwa mlango… Guests started arriving moja moja in big cars… Mens wamevaa tuxedos na females wamevaa tuu vile superstars wanawake uvaa wakienda Oscars.

After all the guests had arrived and entered mimi nikabaki nikichunga mlango. Kidogo Kidogo kwa umbali naona ghasia imevaa ki-kayole kayole hivi approaching the venue. Mans amevaa jeans imeparara… Savco ya green lakini juu imechapa inakaa grey. T/shirt amekuvalia zile tsho za Ngombe na njumu ni crocs banaa. Ooh alafu back pocket amekubebea gilbeys.

Akafika hapo kwa door… Ati am an invited guest let me in. Told him ghasia I can’t see your name in the list… Jamaa aka insist alafu alikua mlevi. Karibu nimuekelee kibaree but bahati mzuri Supu Don akatokea akasema niache tuu aingie.

After 30mins naskia mtu Ana shout SECURITY SECURITY… Kuingia ndani kumbe ni huyo Baba clichy ameanza fujo. Without wasting time nilimshika mashati nikampea two electric slaps followed by a sweep. Akaamuka nikamskuma tekee ya tumbo akainama… Nikamweka between my legs and gave him a pedigree (triple h) akazirai. Nikamtupa hapo nje apate fresh air.

FFWD: party was over and guests are leaving. Ngombe bado ime K.O hapo nje. Bahati mzuri one of the guests… A rich guy akamuonea huruma and asked me to help him put baba clichy in his Mercedes car. Nikawaacha wame drive off.

Nikafunga kazi alafu nikafanya mashugli… Shopping shopping ya Xmas juu nilikua nimelipwa. After kumaliza shopping nikaenda sonford fish and chips kutengeneza mwili. Kidogo naona ule baba clichy running while holding his already falling trouser and looking behind to see if he is being followed.

Nikatoka nje ya sonford and called him. Aka kuja mbio ati security please help me. I ordered for him chips and sausage then we sat together. I asked him kwani kuliendaje.

Ati wawawawa security mbona ulinipeana banaa? I asked him kiaje boss… Ati banaa ule big wig ulinirusha kwa gari yake banaa si mtu mzuri. Manze amenipeleka lodging akanichunisha sukuma… Kumbe ilikuwa ni ule Smith banaa… Nimetoka mbio kutoka hio lodgo banaa. Hio sio poa.
[ATTACH=full]198698[/ATTACH]
Quadrijoint (file picture)

kwani siku hizi sukuma zinapandwakwa lodgo?

Yao leo imegonga ukuta inabore…
Chieth!!

Chokosh enda, Hamburg…tafuta kampuni inaitwa Jos Hansen & Soehne…tafuta Eng Freiyher…ningekupea address utoke mapipani lakini wewe ni meffi in my eyes…jinga ghasia

peeps who say a thread is boring rarely post threads…FACTS

Ya leo apana, iko chini

Jirani, are we saying wewe huosha wanyanye haga then una moonlight kama soja

somebody opening up about being a mshika rungu in berlin is the true definition an own goal in these streets.

System shut down, I repeat system shut down baba clinchy ni mjinga tu. :D:D day made!!

And this is where I realized this story was purely a work of fiction.

When Kenyans heard that the maribe lover (jowie) was a watchman in Dubai walicheka until they heard how much he used to earn as a watchie…200K banaaa

Randy leta yako please …hata kama ni ile ya kuiba viazi vitamu (ngwashe) kwa shamba ya baba ya @Meria Mata …leta tu ishike

:D:D:Dtriple h. lolest. halafu nkamtupa nje apate fresh air…

Panyaste.

:D:D:D:D ulijuaje nabebanga gibleys kwa mfuko ya nyuma

lakini hapa ume PEDIGREE kabat

Ona vile nakamua nyoka… Hii game ni tamu sana
[ATTACH=full]198713[/ATTACH]

weka 433

Nunua PS4 na FIFA19 tucheze online badala ya kuwaste pesa kwa pombe. Hio PS3 yako chafu tupa kwa taka taka ama upatie clichy… Hata haunanga aibu posting pix ya PS3 chafu Hapa… Smh

So ulikua sonford ukikula chips kavu kavu na kuteremsha na maji ya tap kama kawaida

:D:D

Nilimwambia aombe mama clinchy duster apanguze hiyo control stick. Chafu hata inaweza mpa clinchy tetenus