Kuna mtu ako desperate

Ndio upeane serikali yako kwa opponents wako, uwaambie wachukue yote lakini wakubakishie kanafasi kidogo tu ya kuitwa president, uko incompetent ama desperate sana, na umefika mwisho.

4 Likes

Hehe, Si ulisema he does what he resolves. Kumbe he is just a useless and clueless coward. In 2yrs he has done zero development and has surrendered sirkal to rivals. Na bunge imechomwa. Bure kabisa.

5 Likes

ako useless na clueless

1 Like

Ruto must go 2027

1 Like