Kuna msapere dame ako States amenishow akienda home+254 hashowingi Fam yake!!

This is her story na si mara ya fao nasikia hadithi kama hii…tumebonga na uyo shoree Skype like an hour ago…Ako nauko Washington DC…ana fly kesho Kenya. Wacha niwapeleke na radar…Dame (Shiro) amenishow that whenever she flies home hawezi thubutu kushow familia yao that she is coming. Anasema akiwa bado newbie majuu alifanya makosa kushow fam ile siku anakuja + arrival time + flight. Alipofika Airport alipatana na budake, mathake, sis na bro wawili…also in the welcoming commitee kulikuwa na uncle wao mmoja who owned a nissan matatu…hio matatu ndio ilileta fam airport na ndio itawasafirisha back home.

Dame alikuwa na madollars na maburungu za pawa . After ma hugging na kissing safari ya kuelekea mtaa ikaanza. Uncle alikuwa ana shine macho zake pale kwa side mirror while driving…dame alikuwa ame arrive 11pm. So wako msafara…kidogo uncle akadai kuna ma shortie anajua iwafikishe kwao Gachie… waaa kidogo kufika place fulani akuna stima uncle akadai kuna puncture. Fam yote ilishuka kusaidia change wheel…penchu vile ametoka majuu akaambiwa abaki ndani ya gari ati yeye ni spesho…waaaaa punde si punde ma carjackers waka tokea nama guns…wakaaibia kila kitu lakini attention ilikuwa kwa Shiro…walimchukua jewellery, pesa hata njumu.

After uwizi isha happen uncle na family ikasema hata puncture tulikuwa tushamaliza kutengeneza…Shiro akashindwa aiiii kwani how fast!! anyway safari ikaendelea…Shiro anasema ile time yote alikuwa home fam walikuwa poa kimfuko na anawajua ni watu fukara…bro wake mmoja huwa makanga wa kujaza matatu pale gachie,mtu ma 2nd generation alcohol lakini hio time boy alikuwa anakunywa beer, na anajinunulia manguo…mbuyu mwenyewe alikuanga mtu ma kaunda suit lakini raundi hii amevaa suti ya giorgio armani.

Ati hata kuna siku matha ya Shiro alisema leo hapiki home ati waende out for dinner…smthing that has never happened…ule uncle mwenye mathree ali pimp hio mathree yake. Shiro amenishow wasapere ni gwan na ni mafisi,nimemshow that is not news to me and am not surprised. waaaaa

6 Likes

Upussy at it’s best.

2 Likes

Hehe @Jirani for someone who claims to hate wasapere you sure spend a lot of time interacting with them.

10 Likes

At least they made sure she did not need to spend anything while at home.

3 Likes

Kwani alibeba chapa yote kwa kikapu. Hakuna zile zilibaki kwa benki

2 Likes

That’s what am wondering.

2 Likes

Kuishi alone in Germany must be very boring. You have to keep dreaming up hekayas to amuse yourself.

7 Likes

:D:D:D

3 Likes

Hehehe sasa wacha Shiro akuje basi umkamue with the switness…longdickstyle…

2 Likes

Uncle alikuwa ana shine macho zake pale kwa side mirror while driving…

hahahaha

1 Like

Hehehehe

1 Like

:D:D:D:D

1 Like

he he he he ala!

1 Like

:D:DGiorgio armani suits hehe

1 Like

the things @Jirani wanks to

2 Likes

You sound like a msapere

1 Like

:D:D:DAre you kisii by any chance??? :rolleyes::rolleyes:

Jirani chokosh anapenda wasapere sana

1 Like

Huyo uncle alikuwa anashine tumacho alikuwa chokosh mwenzako @Wakanyama

1 Like

hii ni matapaka ya dandora…

this nigga speaks like the Ghetto radio presenters… Bonoko to be precise…

3 Likes