Badala ya kutafuta kazi and getting your own place, unajisumbua na story za simba.
Ghaseer
11 Likes
Vile you’ve put it inabaki nicheke tu: “Story za simba”.
Kuna yapper lazima apayuke kila thread kama Malaya
Nyama ya Simba ni Tamu kama mkia ya kapotty
HAko ni kale ka cub kalionekana kwa cctv ya msee. Hako nikikapata nai lure compound yangu nafungulia boerboel yangu nione gani noma
1 Like
Nilikua nimebambika utaifuga iwe pet together with your dog, bomboklat




