kuna DH prefect wa highschool nilikuwa naskia amededi...Tears of J

RIP…lakini uyo Dining Hall Prefo alinifanya madha ingine siweze sahau. Manze Thursday dinner ilikuwa favorite day kwetu menu ilikuwa kanyake (meat), kasembe na cabbage . Hizi ni days boyz walikuwa wamejitayarisha na vitokeo…avocado pale, dania dania ivi juu ya ile dish. Sasa hio night si mimi nko pale kwa line ya chakula na sahani yangu. Boyz wangu fulani ashaniibia line…Vapiano kamu apa mbele. I booked this position for u. Niko mbele…mpishi wa kwanza ashaweka cabbage kwa sahani…mpishi wa pili akaweka ka piece of meat na kisupuu…manze kwenda kwa mpishi wa sembe ananiwekea sembe ndogo…ile kujibishana na yeye akasema ati kijana songa …line ni refu… Mimi huwa mtu mahasira since utotoni…nilitupia hiyo cook hio dish kwa uso na ilikuwa moto.

DH prefo amenikamia…manze uyo boyz alinishika war ingine sijawai pata. Alikuwa mluhya huyo msee…wale waluhya wamekauka na wameshona,born n raised with unga ya kusagwa pale poshomill…in short singeweza fight back althogh izo enzi nilikuwa na UFC skills. Alinitwanga kama mwizi…saizo amenikalia juu…ma hot slaps followed by blows to the face…na saizo i can’t guard my face juu alikuwa ashakinga mkono zangu with his knees.

Am nose bleeding lakini mlunje bado ananiwekelea…ilibidii (just imagine) ule cook nilikuwa nimetupia dish to come to my rescue…ati hio tosha…bt mlunje bado anataka niingia. ilibidii other cooks and students to come n restrain him.

I told him msee umenipiga hivo…siku moja utajua haujui… RIP Opato

4 Likes

confirmed, nani hupenda kusema utajua hujui ile kijiji ingine. hehehe

1 Like

@jigranny habari ya kupotea… Meffi.

2 Likes

Weka jina ya shule faga

1 Like

@Coward of Stuttgart, as @aviator says.

stop derailing…just type RIP Opato

5 Likes

RIP Opato…
Je mnakuja kuvote on the 8th na akina Blaze?
Uvae adidas juu chini.

9 Likes

Blaze ndio nani?

1 Like

Hehe… Best day seco was weno juu ya pork… Hiyo nyama ilikuwa inapikwa style ingine fyam sana… Anyway RIP Opato

kwetu nyagu ilikuwa served Thursday mnight na Saturdays

1 Like

Shoga wako

3 Likes

Na hivo ndio prefects walikuwa wana-end up kuchomewa ndani ya cubicles zao. I once was requested to take up the position, i humbly declined after seeing a prefect akimwagiwa maji moto kwa miguu na ex-mono, na saa hizo ako na viatu

In my former school prefects were once accosted by form three’s and fours hapo town wakawekewa stinging nettle kwa mgongo. In another case, makanga wa machakos country bus walilipwa na form fours wakapora a certain form 1 prefect while he was on his way to board a bus to western.

1 Like

Ni coincidence ama…I just lost a colleague named Patrick and he is luhya. Anatoka sides za kitale.

kufa pia wewe utakufa siku moja, its only a matter of time so wacha kufurahia. lakini from your description you deserved the beating. he instilled sense in your actions. ingekua where I schooled hio ingekua expulsion on the spot. RIP Opato.

2 Likes

@vapiano just a small question. How long have you carried those feelings of being hurt? Two years,three maybe?

1 Like

Chunga asijue umeandika hii storo hapa,Mkikutana ahera atakuchapa tena!

Alikuwa na ile misplaced sense of entitlement yenye huwa na watoto wa single mothers.
Rip Opato.

Rip Opato.
Wetu we had nicknamed him Tekayo juu ya vile alikuwa anapenda nyama.
Huyo mjamaa alikuwa anajaza mkebe ya 2kg nyama pekee na hawezi kupatia.

1 Like

hehehe were you in Bungom by any chance?

2 Likes