kumeza taxin

… Nkiwa bado in my youth years umoja 1 nshawai patwa base ya veve around 12 za usiku ivi ka tunashikisha na kahawa tungu baze ya vaite…apparently kuna karao alikuwa amemadwa na itoke yake ikabebwa… Lakini juu ya veve kutamba na reggae kuruka tulikuwa tumetupa idhaa sana hatukuwa radaosis…
Hujaona msako na karao plain wameingia ka tumelalishwa chini and i was the most closer to the entrance ya vaite…uyo karao alinilalisha chini na kunikanyaga mgongo.the place was constructed using cottons and cement bags so wenzangu were making way where there was no way.,karao huyu amenikanyaga after kuona ivyo alianza kushoot kwa hewa but mi juu nlikuwa nmelalishwa chini na tumbo na sioni any nlidhani ni mimi ananimalizia as shells came down running beside my head…nakwambia veve nlimeza na haja ndogo pia nkaenda…i knew i was done…

24 Likes

frank, frank, frank…i thought mama warned us not to go to such places. unge-shootiwa ungesema nini sasa?

6 Likes

hizi ni gani rasta man?

2 Likes

Hehehe Franko pole

@wildfrank Mimi sio mijinga lakini. Sawa?

1 Like

Wewe ni mjinga… Utado nini?

Hizo cotton ndio shida

@ kirwa,umeskia mambo ya Kayole jana?

2 Likes

Hii hekaya umeleta Tu siku ya wajinga

1 Like

Carton …I think

washa simu…

I was on another call ,piga sahii.

Nkt kama huna hekaya ya kayole jana hapa toeni mapenzi ya kazi hapa… Texting is more easier… Chieth

Niwache boss.

1 Like

Truth hurts i guess

Leta story ya bangi, hii ya veve imekataa kushika.

1 Like

:D:D u see truth hurts…just cause i told you nmeona before mugabe… Stop being a soar looser.

:D:D

@guru=@ole_wenu i know these things

Hapa umenimalisa Rastaman