Kumbe wanawake mna pesa, sasa kwa nini mnatusumbua?

Ni mtanzania kutoka mbagala, dar es salaam

Karibu sana Mtanzania, naona Mgufuli amekuvusha boda

ishakutoa jasho mkuu kaa mbali

Anakujua mbagala kweli huyo au unamzingua?

Transactions that is the meaning

hahahaaaa wanakwambia nyie makakabraza mmetorokea hukuu …masheeeenzi

walipooza sana acha tuwaamshe majukwaa yao yapo yapo tu

Eeeh kaka, sijasoma hiyo insha

Pesa zetu ni zetu tu pesa zenu ni za kwetu wote we toa mahela tu acha kulialia

POle, you have to learn it my dear. After all, Swahili Language is a World Language nowdays, Kiko Tweeter and even fb.
You cant get away from it.
JIFUNZE TU

miamala=====Financial Transactions

Dar es salaam.

If it wznt that you were from tz this shit is sus as fuck kaka…keep it G and tone down on the tz hospitality…
[ATTACH=full]176091[/ATTACH]

Akiwa single ni jukumu la wazazi wake…

Ukishamvuta kwako ni jukumu lako…

Cc: @Mahondaw