Kumbe niko na depression na sikuwa na jua

Procastination
Kutusi watu sijui hapa ktalk
I have always liked being left alone but wanasema hiyo ni weakness.
Halafu kuna vile nilienda hoteli fulani for breakfast pale nikaweka sukari mob sana kwa chai na bado haikuwa ina taste vizuri.
picking arguments na wasee wa nduthi wakiblock gate ya estate.
Leo nimeambia a certain t3am lead awache umeffi,I.literary said “wacha umeffi”
That is why am at HR being asked whether am okay upright and have been asked to list few weird things i have done in the last 3 months

How much did you guys say i need in my account to quit and start my own gig.
From the way hii conversation inaelekea hii Mluyha itapeana dismissal report on depresession ground.She is insisting that am depressed but i thought ni vile niko broke ndio naongelesha kila mtu vile nataka

Give the HR your Ktalk logins so that they can confirm what we all already know.

I know you’ve always loved me,so you don’t mean it.
Lakini nimetoka,that other guy was looking for scapegoat after they missed some deadlines.My web APIs never fail and when they fail i get notified.

Can you really get fired on grounds of depression though? Seems like discrimination to me.

Can adults really be summoned like that in workplaces Kama staffroom ya primary school?

The irony of your custom handle

Walahi ata mimi naona niko hio stage ya depression. From drinking too much, picking up unessesary arguments, taking unessesary risks like driving to statehouse etc

:D:D:D it seems it’s one of the perks of a 9-5:D

They are saying mental,alikuwa anasema nikama ninachapa pole pole.

Heri wewe unaenda statehouse,umeona dere mwingine wa BMW akichapa a D- pale Mombasa rd,am not depressed coz i can identify other depressed persons

there’s a wave ya mental fatigue allover usijali itapita tu

Enda counseling pale Amani center, Mbagathi way. Damages ni 2500 per session ya1hr. I’m a resident client huko.

Nunua kamba nitakuonyesha MTU mzuri

my goal this year is to fck u in the butt,remember najua stall yako pale tao

Ukijaribu kunikaribia nitakata hiyo mboro yako

2500 si ununue bhangi ya miezi mbili

Huyo amekoroga sewage

Azor alisema 1 to 2 billion Ksh just to survive in Nairobi ata gig bado haitamake.

Kama mtu ni meffi ya punda, it is your God given right to inform them of that fact.

Ungeongezea, “Wacha umeffi doggie wewe kypii!”