Kumbe klisting inajina mpya

Nimekua gizani hizo siku zote na kumbe wana kijiji wote walipotelea huku!nimeona Kama ni Yesu ame cure a blind man.

3 Likes

hehe more than a year later?

wecome back @mburu brrr

3 Likes

Karibu nyumbani!!! Zaidi ya mwaka tangu klost izame!!! Lakini wewe nawe, haujui kutumia google?

Kabla tuende mbali, kama ulikuwa na privileges klost, sahau. Hapa unaanza fresh. Na kukukaribisha…
[ATTACH=full]32248[/ATTACH]

18 Likes

Asanteni.eti rights zote nilikua nazo nimeacha kwa mlango ni kuketi chini kupewa mawaidha na wazee wa kijiji

@highschooler leta entrance exam.

Some people are generally slow in life.

2 Likes

Huku unaanzia mono kama umeketi kule-----------------> with a pen and paper and learn the laws of the village. Important people to know chief ni @admin, assistant chief @Mundu Mulosi, headmen ni hao wengine @Deorro etc na wanafukuza watu wakikojolea thread zao, ukiona jina bingwa au scrotum huyo ni village reject. There are chokosh wars that are ongoing, stay away from them. Village birrionares who own bulotis, the local butchery joint etc watajitambulisha, chairman of the esteemed village ni MM na analetanga mandazi moto for breakfast na ni chair wa usiku sacco, unatuma registration fee kwake. There is an exclusive club called Telegram lakini huwesmake huko, and the rest of the villagers in ranking

11 Likes

correction- ati “kumbe mlipotelea huku”, hapana si hatukupotea wewe ndio ulikuwa umepotelea ulikokuwa…

5 Likes

Heheheehehehh… ‘ulikokua’

Hii lugha gani???

1 Like

i am one of the billionaires,usiwahi jaribu kubishana na mimi,i am always right

10 Likes

I see you do not trade insults.

That is an attitude mostly found in women. Mimi hukuambia wewe ni bit.ch husikii.

1 Like

sitaki mabishano na peasants

3 Likes

Peasant ni wewe na hio nyumba yako 83% ni choo.

3 Likes

:D:D heheh si mna matusi bana eish:eek:

Thats not an insult. It is a comment.

A turd by any other name, Love.

who are the others?

hehehe…
no wonder kamekonda kama uzi kazi ni kuhara tu

2 Likes

Nyamaza NV!
Unakosoa aje mzee wa kijiji?

2 Likes