Kumbe hivi ndio watu hutengeneza pesa hii Nairobi?

Wadau niko na swali.

Wacha nikuulize, ungekua mdosi ungebuy gari ya aina gani? Range Rover? Ama ungebuy Land Cruiser uitwe mheshimiwa? Ama ungeangusha Bugatti huku Kenya uchokoze slay queens wote?

Bro, Huwezi nunua hizi machine na job za kawaida. Ukicheki msee ameshika machine ya nguvu kwa njia, kuna kitu ye anajua yenye we hujui. Iko siri amecheki yenye we hujacheki!

Mimi naweza kushow hizi siri. Kuna book inaitwa The Lazy Person’s Guide to Wealth. Wazito wote wamesoma hio book. Business men, CEOs, politicians, pastors, wasee wa wash wash… Wote wamecheki hio book. Siri ziko hapo ni noma! Ndio unacheki kuna wadosi wengi sana Kanairo siku hizi.
Book ndio hii:

Fanya hivi, ingia hapa udownload hii book ujifunze jinsi ya kuwa BAZUU: https://ezhowto.store/p/the-lazy-persons-guide-to-wealth/

Kama unataka discount, hapo kwa checkout weka code THIRTYOFF utapata 30% discount.

2 Likes

We better read @Ahai_Azor @Gaines tips than buy a stupid book to repeat Azor mayai theories which he vomits here free of charge . For a start for azor to marry he needs 100million USD to carter for household expenses, hio iko kwa hio kitabb?

16 Likes

Mzito sina ubaya. Shika hio kitabu nipate ya referral. It contains a lot of valuable insights za wealth creation.

1 Like

Nimeona weka code upate 30% off nikajua you are just another broke salesman pushing a book.

5 Likes

Mbona hujatumia lessons za iyo kitabu kukuwa mdosi mwenyewe. Means that even you don’t believe in it. Shenz kabisa

11 Likes

Will a lazy person finish reading the book??

9 Likes

Mimi Niko na shoebaru na kneesan

1 Like

Shut up and driblle sir

Enigma shika hio guidebook. Iko na insights kali sana.

1 Like

Mimi niko chonjo mdau. Shika hio book itakufunza various methods of wealth creation

Mhesh shika kitabu nipate commission.

1 Like

[quote=“Ronaldo, post:9, topic:458532”]
…n, CEOs, politicians, pastors, wasee wa wash wash… Wote wamecheki hio book. Siri ziko hapo ni noma! Ndio unacheki kuna wadosi wengi sana Kanairo siku hizi.
Book ndio hii:
Kama unataka discount, hapo kwa checkout weka code THIRTYOFF utapata 30% discount.
Nimeona weka code upate 30% off nikajua you are just another broke salesman pushing a book.

Sawa mkuu nime buy

1 Like

@Ronaldo mbona unatuuzia hio book, kama wale wameisoma ni billionaires. Si utujenge sare kama elders?

Inatoka mangapi?

Ata wewe umeanza shortcuts Nabii amekupipinya

1 Like

Mimi husoma tu vitabu kama za John Kiriamiti, novels, and books about life in general. Hizo za kutengeneza pesa hapana juu formula, opportunities haitawai kuwa the same.

1 Like

Want to promote his business. Mtu akiuza kitu, unanunua thats how we help each other hii dunia. Ukikosa kununua atauzia nani

Ataanza biashara ingine as he should. Maisha ni kujaribu na kuadjust what is not working. Biashara si kubembelezana

2 Likes