So mtu ako kwa Nissan WingRoad ananyuria kama yule ako ndani ya Range Rover ya Millioni 20?
No amount of technology and engineering can override the laws of physics and a bonobo hellbent to see his white God.
Darwin wins on the Kenyan roads. Not Einstein.
Wewe ukienda kujaribu utakufa kifo cha mbwa. Laws of physics hucome in when not expected. Ni kama vile socks yako ikianguka kutoka kitanda huwa inaamua kuroll mpaka huko penye ugwesfika.
Kama unaishi kwa nyumba socks inaweza potelea chini ya bed, you don’t have to tell me that you are a hooves eater. You also don’t need to tell me that bed yako Iko sako kwa bako na ukuta.
You subscribe to stupid ways of judging whether someone is monied or not. Kama nataka kula hooves, naenda penye ziko na kula. Kama nataka kuskuma kitanda yangu kwa ukuta, naiskuma bila kuogopa fukara huwa zinajaribu kufanya nini ndio watu wadhani wana pesa yenye kwa ukweli hawana. Nyi maskini huwa na rules mingi za maisha ndio maana pesa zinashinda zikicheza hide and seek na nyiye. Ishi vile unataka buana, sio vile jinga flani zinadhani utaonekana maskini ama tajiri.
STOP TRYING TO KEEP UP WITH THE JONESES, YOU IDIET!
Wacha kuniandikia paragraph za kishenzi. Sikuwa na ubaya na wewe. Ishi na panya na kunguni kwa amani.
Nimeona hii range walifanya number plate search ya UK na the car had problems with the front suspension.
But huyo kadere alikuwa anamove na speed ya ngapi for that impact
Lia Elder bana. Lia sana. Punda haibembelezwi kwa mteremko!
Mna maringo na majivuno mingi sana huku Kenyatalk. I wouldn’t be surprised kupata wewe ni peasant in real life. Let him be.
Kama siku yako ya kukufa imefika hawezi hepa
It is all just some good idle banter if you think about it. Unaweza pata in real life hio ghaseer ni beshte yangu kuruka mwenye tumewahi kula chapo chafua na yeye college but since we are incognito hapa, lazima akule kahasho kadhaa. Damned is he who takes the opinions herein seriously.
Money doesn’t buy brains
You must be some uncle of mine huwa anapenda socks za yellow na longi haifiki chini na apenda kuargue sana.