Kumbe Erica Amondi akona uzito kama Sonko

[MEDIA=twitter]1659149651071598592[/MEDIA]

Naona kijana ya Haji akifinya watu very soon

The rich are rich in silent…fuck this flaunting bonobos. Financial literacy and experience muhimu

Clout chasing

Ingawaje Eric Omondi ana pesa, zenye alitengeza wakati ya mwendazake CEO wa Safaricom, tunafaa tukumbuke yeye ni “Content Creator.”

Alikuwa na nyumba Karen, pamoja na ownership documents na kila kitu, hadi siku moja wakenya wakapata io maneno ilikuwa “Content.”

This is how celebrities abroad who move dumb get caught unaware. The exception is people like Mayweather who have security. You don’t need to be breeding this level of attention towards your assets. Mind you this is the same ninja blocking Haile Selassie this week donating unga on the Roundabout. Definitely not his money though.

True.
Mwangi equity has been earning hundreds of millions since the year 2004.
Na huwesi muona na hii upussy

some shit people do then start paybill numbers when the run into real shit !

cant do such shit here , its even putting ur kids in danger , uta anaza kuambia kidnappers haikuwa pesa yangu ! ujinga ni mbaya !

Huyo sray ni nani? Huyo sray hawesjinyakulia mapesa kadhaa?

Where is the mechanised infantry batallion when its needed? Bonobo imejianika ikichase clout.

Tuanze kuwa na vikundi vinatembelea hawa humbwer na kuchukua hizo pesa Satafrika styro.

Are some people going mad in Kenya

Muwache wivu. His cash his choice. Let him enjoy his money.

Watu wakona pesa na wengine wameacha kupika chai bc sukari imepanda bei

Ata @kijana ya Njoro huwa tu same kama Mwangi wa Equity. Hanaga nduru kama khasia zingine apa.

Na ako na kitu kwa bed.

am I the only one who finds the whole clip amusing? Eriko is just playing around, as usual.

“Money talks but wealth whispers”

Waah, pesa mpaka kwa choo.