Kumbe bobby aligeuzwa mlinzi wa kidogo

K?

Baba K? Who’s baba k? Nisamehe dada, nipo Kisarawe nakata mkaa, sina dish wala king’amuzi huku!

RC wa Dar ni Baba Keagan

Oh Joyce Wowowo! analindwa na mbwa wa madawa ya kulevya! Ndiyo maana lilugola limepoa alafu linamshupalia zito ameliambia limtafute mbwa kwanza

Bobby amepatikana alikuwa mafunzoni eti

Alikuwa analinda nyumbani kwa naibu rais