[ATTACH=full]206215[/ATTACH]
mbona unakula samaki na patco?
Looks good but io mchele haileti shangwe.
Makosa mawili:
- Huyo samaki ameungua hapo juu
- Kupakua samaki na mchele ni kama kuua binadamu.
Let me join the bandwagon: Fish na wali boss si form hata iko hot hot aje
:D:D:D…kuna siku niliona mkamba fulani ameitisha whole fish na chapo nikashikwa na depression.
Mimi naweza faint ama nipatwe na stroke!
Mimi naweza faint ama nipatwe na stroke!
fom ya kula samaki ni kupika ugali kubwa na kufunga mlango
:D:D:D
Halafu unatoa shati.
halafu unapiga press-up 15
assuming ni ugali, alafu utapata mshenz ako na kakijiko complete an fork…I miss death by hanging na ni kamba imekatika.
It’s a matter of personal taste …
Dubai , Bangkok , Durban , Comoros, Mauritius , Seychelles , Cape Town nimeona Samaki akiliwa na Wali …
Tena Very Nice …
Sasa. …
Jaribu Hiyo…
[ATTACH=full]206225[/ATTACH]
:D:D:D:D na ugali mbili
Ndio nikule smak ama ingoho me umake sure nimetembea 200 metres ndio njaa inipige proper
what is 200 meters VE? U must be as lazy as fuck. Bolt can cover that in 20 seconds, and me in 25 seconds.
Halafu unaweka wimbo ya Brock Lesnar.