Kuku bahati

I hear this is the famous kuku bahati meal. Let me ask u mtu na akili yake timamu anawezaje eat this food? It can’t be me
[ATTACH=full]185623[/ATTACH]

I would rather go to mama Oliech anyday and have my fish ugali plus kachumbari… Awuoro

tell us more,otherwise hii ni U

Sai its how much???
Najua u Marketing the place

Wewe kula food ya bendora bila kusumbua

Mtu hana njaa huongea vibaya kuhusu chakula

Avocado iko wapi ?

Me too I can’t eat anything now, nimeshiba sana nimetoka lunch.

Hiyo ndo kukula kuku na kifaranga?? Ama kuku na mimba??

These mashakuru is delicious…

Si uhame Meza.

An ingenious way to sell leftovers.

You haven’t been to Nyeri if you haven’t eaten at To Go is To See

Ni wewe unajua.

afadhali kibanda nikule kienyeji na ugali na kasupu

Kila nyani na starehe zake.Even those who take dogs and monkeys are still sane human beings.

bora chakula aisee. Given a choice I can’t eat that kind of food with zero creativity in preparation serving.

Akiamungu huyu amepata laana kubwa sana kutoka kwangu ,why why kukosea kuku heshima na mazishi hifi hifi!

:D:D:D