kukaza mkundu lady luck na low stake..sengiu lakini

[ATTACH=full]22361[/ATTACH]
sema kukaza braga na marseille wamefunga dakika ya 90:confused::confused::confused::D:D wengine ni single lead…na niliweka stake ya 10…thanks lady luck lakini

Waaaaaa

What’s the currency

haha ungeweka hata 100 bob but ni sawa tu

Sweeet! Bado ni pesa… za betting hazitegemewi wala kukaguliwa.

@mollisleloaded nice… Lets go over tomorrow’s games tafadhali

Ksh 10…upusss

Tebu explain, uliwekelea how much and won how much. Hii mambo kwangu nikama rocket science.

wacha nifanye proper analysis ntakushtua kesho morning

kuna vitu zinaitwa odds that is kama arsenal vs manchester uniteed unakuta if arsenal wins kuna odd ya 1.9 wakidraw kuna odd ya 2.5 na man u wana odd ya 2.2…so ile bet utshinda ukimake the right prediction ni multiply by the odd so kama umeweka 100 na arsenal possi le win ni 1.9*100= 190…ukilooose napoteza pesa…ukimake multibet the odds zinkuwa mulitplied…so mimi niliweka nine bets na odds za 71 na nikaweka 10bob nikapata 700

What are the highest odds tipped to a good team in a game against the bottom of the pile?

the highest tuseme kama 2.5 ivi

1 Like

Was your winnings the best in matters wide spread?

Ka ungeweka 10K ungekua na gari leo Hehe… Anyway nishtue kesho

1 Like

Dafuk!

Kuna odds hata za 30 boss. Strong side meeting weak side

True

tuseme the higher the correct odds the better your winnings

Siulete odds zako kesho mapema, if you don’t mind though. Won’t mind loosing a k or two.

though i weekend might be tough kiasi juu europa league was easier

1 Like