Kujikaza

Ndio mimi huyo nimejichocha vifyam kama dogi ya Bukusu.Na-show huyu msee wangu usijali, hii sio big deal. Ndio sisi hao tumeingia the main door ya building, halafu kuna corridor ingine on the left side inaenda kutokezea kwa room ingine kubwa huko mwisho. Kucheki kwa umbali tunaona kuna jamaa ako busy kwa hio room, so tuna-amua kum-approach. Kuingia kwa iyo corridor harufu ingine kali inani-hit. Inabidi nifunge mapua kwa ndani halafu nifungue mdomo x2. Siwezi funga mapua na mkono vile nitakaa softie, halafu kumbuka mimi ndio main support kwa hii mishoni. Kupita hio corridor iko na cabinets za chuma both sides. Naendelea kujikaza kiume, saa-hizo najaribu ku-imagine vile wasee wametulia huko ndani. Sisi hao … kushoto kulia kushoto kulia… kimya kimya mbaka kwa hiyo main room. Kuingia waaaaa….maajabu! Theater trolleys zimejaa kila mahali, randomly. Halafu haziko empty- kila moja imebeba mzigo, nasimboga. Ile shock tumepata sio kidogo, mpaka tumesahau kugotea huyu jamaa ako job. Inakaa ame-notice ni first time yetu kujipata huko so anatusalimia. So tunam-show mishoni yetu ilikuwa kuja kucheki condition ya rela wa huyu friend wa mine, ambaye alikuwa admitted the previous day. Ule jamaa akatuuliza jina na details zingine, halafu akatushow tulieni hapo niwaletee mgonjwa.

Msee kuondoka sasa tunabaki kusorora ile place tukikondoa macho. Huwezi hata ku-blink vile unaona nikaa wengine wanaweza amka. Ile kitu inanishangaza kwanza ni kwamba kila mtu ako uchi. Side moja nacheki msee amejaa trolley mpaka mikono zina-anguka both sides, nakumbuka kush kanono. Halafu hapo mbele kidogo kuna momo moja kubwa, brown brown hivi halafu nywele inakaa mtu ametoka bed – ananikumbusha Bukusu. Namcheki cheki kiplan vile staki ule jamaa arudi anipate nikisorora. On the opposite side kuna masa middle aged hivi, namcheki nakumbuka mathaais. Halafu sasa hapa mahali huyu jamaa alikuwa anafanyia kazi kuna kamrembo kamelala. Kamresh slim tu ki-laptop, kucha poa na cutex safi. Halafu kichwa amesongwa piece ingine maridadi. Nyonyo ziko inje zimesimama vifyam. I think kalikuwa kamefika the same day vile make-up ilikuwa bado fresh. Fortunately kalikuwa kamewekelewa kakitambaa hapa katika. Kucheki mbele kidogo naona kamsee kengine kamekonda, mpaka huwezi jua kameangalia mbele ama nyuma-nakumbuka ule jamaa wa boxer kuanguka ndani ya trouser.

After kitu 30 mins yule msee anarudi na patient wetu. Patient bado hajaoshwa. Yuko tu vile alikuwa admitted. Inabidi tuchotee huyu jamaa kakitu ndo amwoshe alafu amdunge preservative. Tunamaliza shughuli na tunatoka. Kutoka nje kutembea kidogo nafungua mapua na kufunga mdomo. Hiyo mdomo ilikuwa imekauka mbaya. Hewa ni safi.

Moral of the story; uwachange upuzi ata kama wewe ni admin.

1 Like

Ni corpses sio patients ngombe hii

University of Nairobi the best paying work-study program was working at the chiromo morgue.

1 Like

buda hio yako ni saucer…mm nishaenda KNH mortuary. Buda wa Boy wangu alikuwa amededi frm road accident. Huyo boy wangu is the only boy in a family of 4 girls. tuko pale mortuary mm, boy, mathake na the cute sistas. Other relatives are also there. Coffin ikatolewa kutoka ndae. Iko mlango ya mocha…manze utoo tu attendants juu wanataka kitu kidogo wanatushow mwili iko room fulani fulani ati tukajiwekee kwa coffin. Uncle loud mouth wa huyu boy akaita a small baraza apo inje ya mocha,telling us ati hawa watu wanataka kitu kidogo lakini hatuwapei kitu. He suggested ati watu wanne wajitolee waingie ndani ya mocha,yeye alikuwa ready…he needed three more. Waaaa usitake kuona vile male relaz wa huyu boy wanalenga hio story…mimi out of umwanaume and also to show masista wa huyu boy wangu ati mimi ni ma-men nikajitolea. Boy wangu kuona hivo pia yeye akajipa.A cuzo was forced by one of the relas atu join

Sasa kazi ianze…tumeingia na coffin…mortuary attendant mbele yetu,leading us to the room where body is…wueh wacha tufike woi woi…jay niwape nimejileta…ushaiona watu wamepangwa kama sijui nini. naona mbuyu fulani na kitambi amelalishwa kwa floor…alafu juu yakekwa hio kitambi wameweka an infant kedo 2yrs…shalalalala…kuangalia left naona mungiki ingine na madredi iko na fresh blood na imeshine macho…yani wale watu amekufa lakini macho bado iko wazi. Attendant while pointing at a certain corpse akasema ndo huyo mtu wenyu…Yes he had bn washed and also walikuwa wameshamvalisha suit but kiatu hawakuwa wamemvalisha…we had to kumweka socks and shoes…it was hard but mwanume ni mwanaume…kisha tukamwingiza kwa coffin and out we went…wueh.

Wah nyinyi chokosh huwa munakipata ,hata rwambe ya kuachia mortuary attendant hakuna?

2 Likes

mimi nilikuwa nazindikisha huyu boy tuu na ile kumpa support. Hao ma uncle wake ndio magamu.walikuwa wakamba btw…na si" rwambe" ni rwabe…mungiki

3 Likes

I saw a dead body in the mortuary for the first time when I was in class 6 it was my female cuzo the experience was traumatizing

Sawa chokosh

Boss uko kwa mortuary alafu unaona maiti unanikumbuka? Asi?

Kuna matusi hapa

Alafu hata mimi nashindwa nimeingiziwa wapi.

Kwetu maboyz lazima waview body, unaskianga “Thitima kujeni muone kama huyu ni mtu wenu”. Nakumbuka kuna time cuzo alikuwa anazusha suti ya budake haijapigwa pasi vizuri, saa hizo ni mwili tunaangalia.

2 Likes

I have never been inside a mortuary na sijui kama ninaweza pata hiyo courage. Woe unto me ile siku itanilazimu kuingia huko ndani. I will have to take sth REALLY strong.

I have been there once and it really is depressing. It reminds you that life is just but a fleeting moment. One moment you are here the next you are gone for good.

1 Like