Government to Government,[ATTACH=full]459537[/ATTACH]
Government to Government,
[ATTACH=full]459538[/ATTACH]
Halafu sasa hawa waliitwa wakiwa watatu only, wakasomewa kama watoto, wakaambiwa waende home wapumzike. Waliitwa wakiwa watatu baba asiaibike,
[ATTACH=full]459539[/ATTACH]
Statement ya US embassy iko clear, Karua, Nyong nyong na Baba. Waliongelelea about “shared democratic values,” sio uchumi ama security. Shared democratic values ni mtu akishindwa akubali aende nyumbani