Kujeni Kidogo K-Talk Feministas.....Weka Opinion Hapa!

https://scontent-dfw5-1.xx.fbcdn.net/v/t39.30808-6/349953490_1485045088694257_7405199699354047950_n.jpg?_nc_cat=1&ccb=1-7&_nc_sid=730e14&_nc_ohc=9xgDWRPEDjYAX__M4aX&_nc_ht=scontent-dfw5-1.xx&oh=00_AfAa6fS62bHhS9Q80cXLF5g_EwdgnNB37O-7NRdxJPKBUQ&oe=6477A9C4
“Ukiingia kwenye maisha ya mwanaume na maisha yake yawe magumu kuliko yalivyokuwa awali, wewe ndiye una shida.
Ukija kwenye maisha ya mwanaume, unastahili kufanya mzigo uwe rahisi kama msaidizi.
Hapo ndipo mnafanya partnership; beba upande wako, mimi nibebe upande wangu, kazi iwe rahisi, tuweze kusonga mbele.”

`~ ~ Tanzanian preacher Rose Shaboka has told ladies.

Such ladies are allowed to sell tea and mandazis at men’s conferences for their stand against toxic women

Mwanamke bomba huyu … wife material

I love her already.

Normalize kushow Dem Yako unaweza enda embobut na parachute without notice. Wengi will take it for granted until ufanye test runs ya 1 week. Kama haku tafuti make it permanent. Kama utatafutwa rudi na new rules na kunguru ajue who is the main man in the house

You can add her as your fifth waiff. Since tz ladies are not hostile to polygamy.

She is beautiful and intelligent

We have more just like her… :D:D:D

Tanzania has good quality women.Huku Kenya ni gasia na mavi tu ndio imejaa

very nice lady

https://www.youtube.com/watch?v=rgQ0tmEITNo:38