Wadau leo ni birthday yangu na bash imeshika hapa kwa penthouse bedsitter apartment huku diaspora.
Bluemoon kwa wingi, KC kwa wageni waheshimiwa, weed for watu wa ongwelo na mbishes pia wako kwa wingi, both campus wa CUEA, Milf @pseudonym na Cougar @Nefertities. @amun is way too drunk and now mumbling 1980’s jokes to dem amezaliwa 1999. Hii ndio ubaya ya kuita truck drivers wazee kwa bash
Kama unafika kuja inbox nikupatie pin. Mimi kama Birthday boy nimetulia hapa kwa bed na keki