kuiba

at one moment of our life kila mmoja wetu ameiba kitu somewhere …ndogo ama kubwa

nakumbuka one day i stole a magazine ya mens health kwa library…i though that if you cut out the kamagnetic part utaweza kupita kwa izo stuff mbili huwa apo kwa exit …then shit happened …nikipita with all the confidence kasauti ikalia…sema kukaza…guard akasema “wewe kijana…rudi upite tena…umebeba nini…eeeeh?” kupita tena ikalia…hapo ndio huwa unaomba kama yesu anaeza shuka apige tarumbeta dunia iishe…“kuja hapa wewe…umeficha nini io…ulikuwa unadhani hii kitu imewekwa hapa irembeshe uku” nikatoa tu magazine…mtu akishikwa ukiwa umeiba hunanga haki…wakasema its either i pay 6 times ama niitiwe police…i had a rough evening…sitawai jaribu tena EVER!!

umewai shikwa ukiiba?

3 Likes

Sijawahi shikwa juu mimi si mwizi

7 Likes

@snapdragon kuja hapa

2 Likes

Labda ulikata and it stuck on you

Karma

never.i was smart

No

Nishawai ,but i played rough than them guards…

does somebody’s wife count?

Leta hekaya kazee,kwanza leo kuna bore sana

1 Like

btw huwanga inadetect nini? I also thought its that magnetic thingy

:smiley:

[ATTACH=full]30938[/ATTACH] In class three or two, niliiba maembe at our local grocery. That man ile vita alinishika nikama ya mwizi hardcore, he started with an uppercut that made me swallow two of my emerging incisors, a heavy right fist to my jaw, mara akanieka katikati ya mguu akanipea ‘tomb stone’ he then stood me up and headbutted me so hard my forehead remains dented todate. Well he wasn’t finished Talkers, I think he found me a seven year old skinny boy an equal match for his sparring training. A well aimed flying kick to my chest made me vomit bile, he picked me up ,but just when I thought he was done, he gave me a right swing that landed on my nose i ducked, it met with my nose and I saw heaven and greeted mzee jommo kenyatta, Tom Mboya, Bob Marley, GG Kariuki breifly. I picked myself up before he could perform all his Mortal kombat on me, and limped half drugged myself to our house where I laid in complete darkness while I recuperated. Ni hayo tu kwa leo, leo ukinipatia hata hongo nakimbia kama Shebesh akiona Kidero akilift mkono

13 Likes

Thro’ with editing ??

1 Like

a good thief is always imaginative,think of all the possible consequences before u pick anything,whats the worst case scenario and how/or is it possible to get out of it.hautashughulika na kitu haiezi kusaidia.

there’s usually more than one thingy, usually rfid chips embedded in the spine

mimi sikuiiba but nilikua kwa company ya mwizi…it happened on a boring sato back in the day when PSP zilikua zimetokea i had gone to visit a friend in one of the leafy estates in nai, akanishow tupige malap sisi hao tukitembea tukapatana na tuchali tuwili tuna tembea tukicheza psp so my pal akaniambia nimfuate nione vile watu hurushwa vitu…jama akaanza ngoso “is that a psp? damn you guys are cool can i have a look” ‘‘sure’’ huto tuchali tukampea akasororaa for like a min then akaniambia nasheng “nikufunguka kijiko niwai lembe” before nishike radar vile kunaenda my pal alikua amehepa mbio sana mimi huyo nyuma nikimfwata na tukifwatwa good thing huto tumjamaa hatukua na mbio na walihema haraka na wakatuacha tuende

iliuzwa 4500 na nkapewa 2k as my share

1 Like

I like this village because of the expression you guys use to explain.
:D:D:D:D:D:D:D:D:DPoleni but you guys cracked me up

Moral combat, not Mortal combat!!!

1 Like

Nug

Nugu wewe. I’m speaking about Mortal Kombat-a video game developed before your mummy broke her virginity. Peleka ugrammar nazi hukooooooo

hm… ama wacha tu.