Kuhustle ni wezi

Nimejaribu kuwai wera kuhustle miaka mbili sasa…hii mabrathe ni scam. Kwa kuhustle unafaa kulipa per job si kama zile zingine za kununua account.Initially nikikua naona ikiwa rada fiti but after kubid wera ka das, ni wasee wawili tu wameteremka inbox kutoka 2018 bana.
Sasa kuquote wera inacost doh na kama hautawai io wera io doh yajo inaconvertiwa into credits zenye unaeza tumia later. Hawa mabrathe hawajawai nijenga credit izo wera zote nimeapply na niki bonga nao wanasnob email zangu.
Based on my experience kama freelancer kuhustle iko out there kukula doh zako.Kama we ni freelancer na umetumia io site neza penda juskia review zenyu naybe ni mimi tu niko na ngiori na io site

Dame wako anakuvumila mbloo!
[ATTACH=full]297902[/ATTACH]

huyu anaishi na paro hana stress ya bills. Enda inda ubebe gunia wacha ego ya kusema mimi siwezi kua labourer

https://www.kuhustle.com/
[ATTACH=full]297903[/ATTACH]
guess you talking about this site…well mse never ever pay anything to a job searching platform cuz employers if they are looking for workers they will advertise on free platform…so hakuna need ya special payment to these guys and most important…Your font isiwe ni kama mse wa dandora ako base ya jaba

Huwaga napiga shugli thokoo bana io ganji inaniuma juu hatutapuga biz soko milele

You have better chances on Upwork than that Kenyan shithole site.

hio niya ule jamaa aliambia interns wauze mandazi??

Sijui exactly kama ni yake but ako involved nayo in a big way

Iyo site ni scam from the word go ati $920k worth of work?