kuhustle finding

Thank you

umelipa registration fee…

hehehe! do that

ndio nalipa

Unafaa inua hiyo nanga sasa juu ushaconfirm kinugu karibu paradise

unaweza kamulika?

NYOKA

kumulika nini? hehe! hata new words nitafunzwa.

Nice figure there, kwanza the shoulders, umebarikiwa na hooks/pegs za kuzuia strap ya handbag from sliding down.

hehehe! ni diss au?

@Wakanyama kujia hii ng’ombe yako iliopotea

iko?

Haki ya nani wacha nukupe direction…
…hayaa endelea kwenda hivo tu utajikuta uko kwa mlango alafu toka …NYAU WEWE

haiyaaa! wat is it?

kuna mrembo anaitwa Atwoli… u shld get 2 know her

kuna mrembo anaitwa Atwoli… u shld get to know her…

kwanini? namjua Atwoli mmoja tu.

yaani huwezi tambua diss? ongeza speed…

Hii jina @muringa ni ya gari ama ile ya huko gaturi?

Kwanza teremsha ngotha, inua skirt na uchore saba nikupe shoti moto