Kugeuzwa makaa

img_4_1738588676386

2 Likes

First time in my life kuona mwizi amechomwa sikukula nyama for afew days…jamaa tumbo ililipuka unaona intestimes zimeiva na kumwaga mafuta kama zile matumbo hupikiwa kwa karai huko ghetto. It was a bad sight. Nako kamjulus kalikuwa kameungua kaka shrink na bado i think kalikuwa kakubwa kushinda ka @Zush who has to shave fudhi ndio madem waone ni kama ako na msedes kubwa

4 Likes

Johntez kwani msee alikuwa ameiba avocado? Na polisi watadai postmoterm kujua what killed him…

Hii n unyama

Unyama saidi ni kungojea rancher kama mimi apande avocado, apalilie, apulize dawa, afanye pruning only for you to show up months later to harvest where you never sowed.

1 Like

na harufu ya nyama choma.

1 Like

Very bad