nimejaribu kutuma hizo imei using ifnix but no text reply saidia hapa wana kijiji
@admin, tumesema Mara kwa Mara ufungue section ya bundles mwitu
sawa mzito
ukikua VE uruudi ntakupea trick for now KETI PALE------------------------------------------->>>>>>>>
Unatumia ifnix…sawa tuuu…
watoi wa campus na infinix…hehehe
hahaha …by the way huwezi pata mtu wa note 4 akitafuta bundles mwitu
ju walizaliwa na hizo ma notes!
huyu mono ametoka wapi na anataka nini
huyu mono ametoka wapi na anataka nini
sawa venye umedai mkubwa
mono niwewe mimi ni elder wa kenyalist although ilifungwa baba
watoi wa campus ni wewe :pso what na maybe ni note 4 mchinku
Requirements
1.Boots
2.Kabuti
3.Panga
4.Torch
5.Forest
Step 1~~> Tafuta boots kama zile za polisi uvae pamoja na kabuti
Step 2~~> sharpen panga vizuri… Ikiwezekana tafuta ule msee wa kunoa kisu msho a sharpen hio panga hadi itoshane na kisu
Step 3~~> weka panga kwa waist
Step4~~> Chukua torch (make sure ni usiku)
Step 5~~> sasa ingia kwa hio forest utapata kila kitu mwitu apo
THANK ME LATER…
©Mandella254
:D:D:D:D:D:D
Keti pale____________________________>>
haha enyewe ujinga ni kipawa lakini yako haikusaidi
hio fb ndo itakusaidia
not available
Nunua bundles bro Acha kutegea mwitu.lol