Kufuga Mbuzi Narok

A friend of mine told me hii biz ndio kusema sahii, before I visit the farm kama unaifanya ama unajua story zake saidia kijana na maoni

Thiem ako na 40

Hio avatar inakaa ya @Master JG mbona

Huyo ni mtoto hapa kwa kijiji

Mtoto kiaje

[ATTACH=full]334077[/ATTACH]

Kenyans tuko na shida. Pig farming saa hii imekua kama ya quail. Now a friend had this idea ya mbuzi

Fuga German alpine or any other breed ya maziwa.
Za nyama sioni ukivuna kitu. There’s an influx of them in N.Eastern & N.W kenya.

I always thought huwezi go wrong na biz ya nyama? Specifically goats and cows

Pigs ni story ingine. Hio inaneed some market research

Weka kondoo za dorper

Alafu? Mi niliweka,zikakosa soko,ilibidi niziuze area ingine mwenda at throw away. Cartels za kila aina ziko kila mahali they will hinder your sales.

I thought they fetch good prices in the meat market

What about beef cattle?

If you have your own butchery or you are supplying known butcheries.

Hio iko sawa kabisa

Too many red tape,kwanza kwa certification. Pale lazima ujuane na watu. For every stamp utatoboka ka kitu

Hizo peleka pale neema slaughter house, huwa zinaenda na 420 per kg. Normally for export