Kufuga Dogi kwa balcony

Watu wa eastlando wacheni hii upus, kama hauna nyumba iko na compound sahau story za kuwa na dogi. Sisi tulifuga dogi kwa nyumba za kanju na zilikuwa na compound. Saa hii mtu kwa apartment block anaweka dogi balcony… ina bark the whole night yeye analala ndani haoni inconvenience anapea ma neiba. Eastlando kuna upuzi.

4 Likes

Hama

Nimekuja conjugal visit… si ishi eastlando.

Reminds me of those days I used to reside in New Donholm.
There was this Mzae who moved in the ground floor and had a pack of dogs.
Alikua anazifunga hapo chini ya stairs bana na they were really barking at us and one almost bit a kid.
The rest of the tenants tulishikana tukarusha huyo mzae nje by force… mpaka landlord akashangaa.

1 Like

Si just poison the dogs

3 Likes

Hata in kileleshwa na kilimani the chiwawas bark kwa balcony za hizo apartments the whole night. The solution is to have an own plot and compound if you want dogs.

2 Likes

What would you suggest we use? And how do we use it? Tunakapitia watu wa apartments

:green_emoji:jamaa anakuja na machungu badala ahame awachane na balcony na madoggy za wenyewe

2 Likes

One advantage ka kuwa na waria neighbors. They never ever have dogs. Paka tu. Shida Kuna zile huja kudinyana Kwa dirisha yangu usiku banae. Hio billy cat gets more action than I do

2 Likes

Kwa conjugol visit you are supposed to sleep or ukae macho?

Under council bylaws haifai MTU akuwe na dogi Kwa flat. But best way fanya vile tulifanyia neighbour Fulani 1996. Ghassia alikuwa na German shepherd Fulani kubwa named snoopy, very vicious dog . Alikuwa na mti ya maembe dodo zina ripe mpaka zinaoza tunameza Tu mate.

Kamau akaamua mbayambaya akaruka fence tukitoka swimming, akatoka na maembe kama forty plus 1 ,tukapiga sherehe the whole afternoon watoi kama 7.

The next week tukaunda rooster ya kila MTU Siku ya kuanua maembe kumbe fala alishatupima akaweka snoopy on guard. Omosh akaruka fence akapanda Mti gunia in tow tuki mezea maembe dodo mate.

Omosh kushuka hivi saa hizo tunapanga vile tunaenda kushare hio loot , Snoopy aka appear kama zile dragon za Song of fire na ku Uma Rasa ya omosh, nduru za omosh tulikuwa tunaskia tukiwa hukooooo miguu niponye, baadae tuliskia omosh alienda hosi.

To cut the long story short tulichinja pigeon ya jirani mwingine tuka choma fisoori na kuweka some insecticide na kurusha kwa fence ya huyo fala jioni . Lets just say snoopy was never seen again.

RIP snoopy.

2 Likes

These days wanafugiwa kazi tofauti. Ikishamaliza kazi ndio inawekwa kwa balcony. Mwenyewe ashatimiziwa amelala 4444

Weka poster Kwa mlango ya hio keja ikisema nili ingia mkia ya hio dogi na ikiendelea kubark nitarudia tena

Peasants wamekataa kukaa lane yao.

@TrumanCapote what say you

Kuna dem nilibonga na yeye ako na huto tuumbwa. Akasema yake hulala kwa bafu.

Hapa unatu vako brathe.
Elders tunajua nyumba hulipi rent hufai kupata konjugal rights. Na wewe kama elder hapa hakuna vile unaeza enda kinyume.

Funny thread…pale niko most dogs sleep kwa bed ya mwenye nyumba and even have more cancer centers in one city than Africa mzima…cats spend more for regular vet visits than most humans in zamunda