Kufanyia muhindi kazi

Bana unapewa tablet enye iko na live location. All the movements are tracked ukichelewa hivi ni simu

2 Likes

Why not shut it off.

Good way to loose the job

Hehehehe kwani wewe ni med rep umepewa tablet imeeekwa software ya sanforce?

1 Like

Kazi ya truck driving anaweza pata any time.

Haikuwa ifike apo

Mimi ni hasora

Install ile software ya location emulator halafu nikushow venye kunaendanga

Njia ya muongo ni fupi

Kenya is not like US…am in an FB group where drivers are always looking for work…here in kenya jobs are likited hata hiyo ya lorry

1 Like

Plan your day doing your things. Report haiwezi kosa

Pambana na Vishnu pekee yako si sisi tulikuambia ufanyie Panjeet kazi