Leo asubuhi nimeshinda nikichota maji Sana #ferknairobiwater and couldn’t help but notice 90% wa wale walikuwa wanachota maji were women. These were women with children and couldn’t help to think where were their husbands/men? Were they in the house just relaxing, wamepikiwa breakfast, bibi aende achote maji, wapikiwe lunch et al. Today is Sunday so hawajaenda kazi, and doubt wameenda church.
Kwani kuchemsha tortoise unahitaji mitungi ngapi?
Kayole si kupoa kuishi
kwenda leta mbisha za hao women
Kwanza unajaza drum zile kubwa:D:p:D
Macho itachafuka zaidi
Afazali nilipie maji unit moja mia mbili na stai ikosa.
oa upate mtu wa kukuchotea as you lounge on the couch Ktalking…
If privatising water would ensure haitawahi kosa, wouldn’t mind paying more at this rate
:eek::eek::eek:Bibi hawezi chota maji nikiwa kwa nyumba nefaefa
so kutokana na hio statistic yako kuna 90 percent chance kuwa @Gio ni mwanamuke
Sass wewe huwa unaongea unasema nini,unafikiria maji huwa manufactured ukitumia pesa,?panda miti mijinga
hamia kajiado
Peasant manenos Chef Raphael Bonoko.
Mimi sijaoga vizuri the last one month…story za kuration maji ya bucket si poa
Kuchota maji ni kazi ya wamama na wewe una umama
Baba alisema mrudi kwenu
Gio una mambo
Huwa inachukua mumama kujua mwenzake
Shaitan, utakaa kitako kwa kiti bibi aende kung’ang’ana na mitungi?