kuanua nguo

Mh! Wanawake kwa kweli hapana.

Yaani nguo za dhani zina umuhimu kuliko vitu hivyo vingine.!!
Kwani akishazitoa alafu ndo nini sasa, utapungukiwa nini na wakati msaada umepewa bibie!!?

Hahahaaa. Lol

Umejua kuchangamkia fulusa jamaani rafiki. Lol. Hadi umejitolea na gari juu. Hahahaaaa.

Hamna cha wanawake wala nini rafiki.

Hahahaaa. Hujaombwa uanue lakini rafiki.

Eeh, si nakukaribisha Rafiki yangu.
Mgeni hukaribishwa kwa wema Rafiki.

Mh! Sawa rafiki, yaishe hapa napata picha kama nguo hizo mmiliki angekuwa wewe, alafu ukakuta jamaa limezitoa daah!!
Waallaah ungechinja mtu wewe.!!

Hahahahahaaa. Lol.

Haya bana rafiki nipo mbioni.

Naziacha tu ,na ndio maana zingine zinachukuliwaga na Kunguru

Nasijui kwann Kunguru wanapenda sana nguo za ndani hasa za kike kuanua/kuchukua bila kutumwa

Sawa.!!

Hahahaaaa. Yaaani ningekukalisha chini na kukuuliza taratiibu imekuwaje kuwaje hadi ukazianua.

Na utakachonijibu naishia kukwambia subiri nikuachi3 maagizi na sio kujiagiza. Hahahahaaa. Lol.

Ila kiukweli mi siwezi acha nguo zangu za ndani nje wakati mie mwenyewe nataka kutoka.

Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti lol

Hivi kunguru huwa wanazianuaga eee?

Nakuelewa sana rafiki.

Hahaha ,uswazi huko,Kunguru huwa wanaanua bila kuombwa

Duuh! Hawafai hao aiseee.

Aha aa du sikuhangaika na hizo nguo kabisaaaaa:cool::cool::cool::cool:

Mimi nikizianika nianulie tu hata kama hamna upepo wala mvua

Mimi nitamwanulia na kumpigia pasi kabisa.

Unapotezea…

Cc: @Mahondaw