Manzi fulani tunajuana amenianika ati ameona profile yangu tagged. Topic of discussion ilikuwa online dating…
Na mimi nikaamuuliza aliniona aje, akasema ati beshte yake ndio alimwonyesha picha yangu (uwongo).
Nilijaribu kufikiria uwongo nikashindwa, nikamshow hiyo profile ni ya kitambo hata situmii. Na nilikuwa na wathii wa jobo. nimejam sana juu ya aibu kama hiyo.
kama she is not your wife or gf chapa yeye 2 hot slaps and tell her to mind her own business…you should not stress yourself trying to explain anything to her