Mtu anakunywa keg na mtu anakunywa maji ya vyombo hakuna tofauti
Decent kegjoint is an oxymoron. Unless you mean Simba Saloon kitambo tukinyonya Tusker keg. Is it still bring served now? Tulikua tunajishikia jugs tatu baridi baridi kabla tuingie kwa machupa. Iām even salivating
keg angalau hakuna fake so far
Dark kubwa na jaba issa beauty.
Wengine wakikunywa beer wengine wanakunywa keg is same as weingine wakikula nyama wengine wanakula mifupa aka left overs. Jikazeni wadau. Last time i drank keg was in 2008 hiyo ndio ilikuwa hepi before ni upgrade
Vibe ya keg huwa fiti. Watu hapa wanadharau ju wanaexpect kuenda kuosha macho huko when thatās not the purpose
I sense a lot of emptiness in uppity clubs and lounges which I donāt experience in the keg pubs. Too much fakeness and pretense in the lounges vs natural flowing banter in keg joints.
Hehehe umeleta memories za Tusker keg za club ilikua inaitwa Polo hapo Tom Mboya opposite Afya Centre.Walikua na Tusker keg inaekwa kwa jug ingine kubwa refu karibu ifike kwa roof halafu iko na tap.Mnaletewa hio moja ukiwa na ma arif on a Sato afternoon.By jioni mmeangusha kama nne halafu kuvuka Moi Avenue kuingia winkers kuwinda ma PYT.
Niliwacha kunywa keg kwa local time niliona vile hizo vikombe huoshwa. Dip and return. And the shallow conversations with fellow imbibers.
Maze. Just natural boyish sillyness. Lounges unafaa kuact a certain way. Also drink a certain a way. Also kaa a certain way incase uonekane kwa picha. Good for chilling and maybe finding an expensive kunguru.
But place ya keg mastory zinaflow. Kama unamix hio keg na chrome, ama unamumunya cup moja 1 hour. Ama unakunywa cup tatu 10 minutes. Haimatter. Pia of course bill ni 10X more pocket friendly compared na lounge
Plus a pool table.
Inalingana, Kuna mahali mimi hutulia na vikombe tunakuwanga very keen kujua vile zinaoshwa
Upuss. Beer ukiweka maji, barley na hops poisoning itatokea wapi?
The hatred for Keg sielewi. Juzi nimekua nikikunywa whitecap kwa keg joint flani walevi wakaona mm ni tajiri so nikabuy a few cups kwa wale walikua hapo nikarelegate to keg ndio niache kutoanishwa and I can say for a fact that keg na beer ni the same thing tu.
Keg ni pesa ngapi
Regular ndogo 40/=
Regular kubwa 60/=
Dark kubwa 80/=
There is a pub in Tao, Nairobi known as Amicahā¦Taveta Road near Odeon. It is a decent keg joint. I recommend
Keg siezi weka kwa mdomo. Last time I tried Abdalla slept for 2 days na saa ii niko na Mali safi kwa keja.
Kunywa Ile keg Guiness
Since naelekea in a strange town penye sijulikani, acha nivae shuggy niingie kichochoro huku kamukuywa Kwa akina Ango nionje huu mvinyo.