kwa yule mpenzi wake anachepuka au kumsaliti… wafaa ujue kwamba suluhisho si vita…Cha msingi ni kumweka mpenzio wazi umwambie ukweli uliopo naye umsihi akuweke wazi ili mtatue shida inayowakumba
Kwa sasa sikiza hiki kibao cha Baraka na Ruby. Sikiza jinsi Ruby anamweka Baraka wazi
Eti nikuvumilie (univumilie)
Ku-share na bwana yule
Hata dhamiri yako wee (yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie (nivumilie)
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe
[Verse 1 – Barakah Da Prince & Ruby]
Labda sijui mapenzi, ndo sababu ukakimbia
Au alikuwepo kitambo, hukutaka kuniambia
Na kiherehere cha kupost vipicha wenzangu
wananichora
Na kusema hujui, hivi kwanini umeninyima
amani ehee ehee
Basi nikueleze huko kulalama unaniumiza moyo
Ningekuwa na choyo, nisingedhamini upendo
Umejawa na lawama, ila ungenionea huruma
Wajua hali yetu mpenzi
Nisingeweza vumilia shida na ku-pretend
Inaniumiza nakuweka wazi
Niambie nimuache aende
Na magari nilirudishe, wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke, usimame kama mume
Basi nambie, nimuache aende
Na magari nirudishe, wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke, usimame kama mume
hio ilikuwa imenipita. lakini mulosi amekatwa kende juzi akawa pink handler but tunajua supu don habaguangi so mostly itakuwa @Supu don kills @Mundu Mulosi
Kuna some imbalance when walking ni kama nimebeba 20 litres ya maji in my left hand. Did not know my ball was this heavy, now I understand when people tell me I have balls of steel.