KTN raid: TBT

@patco jamaa wako akiwa opposition "1:09

https://www.youtube.com/watch?v=TuMpQpdNf6s

Hehe na akitoka hapo labda alienda gun range practice na Jimmy na Margaryan na Michuki Jnr. Inaitwa kuchezewa saikolojia.

Na baadaye wakainamisha finest single malt chupa kadhaa.