KTN Investigates : Hekaya Ndani Ya Hekaya

There was this investigative feature that aired on KTN about a month ago, about a guy who checked into a hotel in Mombasa , few minutes later he was dead; killed by assailants who had booked into an adjacent room.
The guys movements was captured by CCTV cameras installed in the premises, from the moment they checked into the hotel, getting into their victims room and when they were leaving in a huff and leaving spent cartridges (Used Rubber) kwa room.
What wasn’t clear is whether it was a hit or a robbery gone bad, but it reminded me of an incident about 9 years ago.
I had just been transferred to Mombasa, na pesa ilikua mingi si ka hii wakati wa Kihurutto.
I used to frequent Casa B, where I would do Pu $$¥ banditry (Obtaining ikus at the pretense of paying very well only to give the unfortunate lass 300 in the morning)
So this Sunday I go to Casa B and I spot a gal who I had shagged few days earlier and was really impressed by her goodies(Kamsap nyama ndogo yellow yellow )
It goes without saying that she was pissed off by my antics, (she had sworn that nitakuja kujuta siku moja kuchezea tudem MSA).
So I approach her, to which she rejects my advances and tells me 1st to pay her the remaining 700 shillings before we can even nego on anything, mimi na manyege zangu I tell her to wait as go fetch chums from Equity ATM. Nikaenda ATM nikawithdraw 2k nikatafuta change nikaziweka kwa wallet in form of 100s, alaf punch ikakua ya kwanza.
Nikarudi nikapata kamshe kangu nikakapatia punch n promised her there’s more where that came from.
Kadame kakasema tutaenda dinyo on condition that si kwangu n nikapatie doo b4 kickoff. I obliged n decided ground itakua Evening Guest House hapo manyu ya CasaB.
She told me nitangulie nichukue room alaf nimtext room no . Nikafanya ivoivo.
So kwenda kwa lodgo na maulevi zangu I dozed off but I made sure that I locked the door.
I think the hoe never came.
Niliamshwa the following day, at around 9am by wale wamama wa “tunataka bedsheets”. Nilikua na headache na pain at the back of my head, kuruka.
Kukanyanga chini nikapata spent cartridges zimetapakaa kwa floor. My two phones were missing along with the few hundreds I had in my wallet, luckily my wallet iliachwa.
Nilitoka asteaste without even complaining at the front desk nikarudi kwa ATM na kuelekea Bella Vista ku unwind.
So when I saw that feature on KTN nilijua niluchezwa, either by staff wa hio Lodgo or the hoe.

Hekaya 2,
Over this weekend nikaamua kufungua roho to my drinking buddies about hiyo kisanga. After narrating the story , msee mmoja anararuka , yani ile hata alitusplash na beer akinyongwa.
He composed himself after about 10 minutes, n kila mtu was like ;unacheka kwa mazishi?
Jamaa akaniuliza,“You mean ulifanywa, kwa hivo wewe si virgo huko ?”
Umewahi skia midomo kukauka, na kukaa wazi?
Imagine sikua nimewai fikiria kitu ka hiyo.
Karibu wasee wamwage fobe, in laughter. I think ndio maana nililewa mapema hivo sato.

Hayo ni mapepo.

4 Likes

Booking a spot to read the comments!

2 Likes

Ukicheka sana una kunianga ama brakes zime lost

2 Likes

VERY GAY THREAD INBOX @Ka-Buda YOU SHARE NOTES . SCHUPID .

11 Likes

Wewe uko na shida, instead ya kuona vile educative and eye opening the post is, unaona vitu zako. Wacha Vanity

Wanyonyi nenda kanyonye your Mungiki biatch

Kwa hivyo @Gay akikusample ataconclude wewe ni mtar0 :eek::eek:
Unaezaje funguliwa boot na usifeel any kesho yake? Ungekua virgo then ungeadmitiwa Nairobi Womens hospital for kunyi reconstructive surgery.

1 Like

WACHA KUMPEA HOPES HII NGOMBE ILIKAMULIWA KABUDA STYLE NA HAIJUI

3 Likes

@admin toa hizi comments za hizi manugu

pole

Sijaelewa sana the events lakini naona closet ni kama umemwagia petrol. :D:D

10 Likes

Jamaa kavunjiwa yai na si la boiro!!!

2 Likes

The young guy killed at summer-link(hotel) in Msa was a drug peddler…killed by his Tanzanian bosses after alianza ku-cook books na kuchuna pesa ya wakubwa…kid was only 19yrs old!

3 Likes

sadness…

Umekamuliwa mara ngapi, hadi ukajua hizi details zote? :eek:

5 Likes

@captain obvious, in your face matapaka

Hakuna kuchange topic…nishaiona kwa news wanaume wamekamuliwa wanaenda Nairobi Womens kushonwa mcoondu., sasa nashindwa huyu mujamaa alihujumiwa na kesho yake akaamka akatoka akibounce tu? NOOO.

Wacha kujificha nyuma ya @vuja de…ulikamuliwa na ulipenda sanaaa.

2 Likes

Kama c mchele uliwekewa beer alone iwezi fanya ukamuliwe na ukose kuskia…but then again spent cartridges…I think may b nikudivert attention ya investigators in case you bite the dust.

3 Likes

pole m-say-ia…inakaa ma-Waweru ni wengi dunia hii…