Ktn boy with accent

Huyu kijana ako na accent nzito ya kikale ama kikisii. Anasoma news pale kdn.[ATTACH=full]204052[/ATTACH][ATTACH=full]204053[/ATTACH]

Wacha anukishe kitunguu.
Msupa S pia anatoa record mpya.

Ni tee fee unataka tuone ama ni audio ungetuwekea tuskie hiyo accent ya fifteen kilos

He he he was just about to say that!

Wanaume wanayatamani mapaja ya Zinzi Kibiku KTN nawe watamani boy awe na accent poa ndo uweze kumsikiliza? Kama kabati limekushinda libomoe ghasia

When Russians or French speak English in deep Russian or French accent, it sounds cool and they are proud of it. Mkisii wetu hapa akiongea kizungu/kikisii utamcheka eti alisomea Nyakemincha!

I am celibate my bratha

Hahahahaha!

Chifu anasema the ‘boy’ has a kale or mogaka accent. And his name is Abubakr/Abubakar.
Accent or no accent wacheni anukishe kitunguu saumu

He just said preking news. Karibu nifloat

Kuna bingwa mwingine Nation walikuwa wanaleta, I think he was the only guy who could work in North Eastern. Alikuwa anaongea half waria

Shida ni kuwa anaweza soma news alafu upate the wrong information.

tell it

Kuna reporter wa bungoma wa ktn with a very heavy luhyia accent…no problem with that…bora tunaelewa nini anasema…capiro fm should follow suit

And you think u have made in life by by speaking fluent english???
As far as i know its only Americans and British who speak without accent…so take your crap…away

Even they have different accents. A London Cockney’s English is different from a Northern Midlander’s English

Why exhibit so much bitterness?

Don’t be so salty men…people make fun of funny accents on a light note so just calm the fuck down.

Kwani ni pilau anapika