ktn and ntv

KTN na NTV zimefunguliwa after being off air for a week

ndio nimeland wadau

Uhunye walikuwa wanajifanya kwa nini…si mkia wameweka katikati ya miguu sasa

Ilikuwa warning. Zitakuwa zikizimwa zimwa kama light switch mpaka watii.

niaje mungich

Ni kama kukuita mnyore, mtiriki ama mgisu.

Hehe…and Citizen remain shut because they went to court.

Karibu sana Navy SEAL

Ni navy seal ama nappy seal LMAO